Quebec (kwa Kifaransa: Ville de Québec; kwa Kiingereza: Quebec City) ni mji mkuu na mji wa pili katika mkoa wa Quebec.

Jiji la Quebec
Nchi Kanada
Mkoa Quebec
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 549,459
Tovuti:  www.ville.quebec.qc.ca
Sehemu ya Mji wa Quebec

Mwaka 2021 ulikuwa na wakazi 549,459, ila pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 839,311.

Eneo lake ni km² 454.26. Mji upo m 5 juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa mwaka 1608.

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jiji la Quebec kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.