John Cheever (27 Mei 191218 Juni 1982) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na hadithi fupi. Mwaka wa 1979, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa mkusanyiko wake wa hadithi fupi The Stories of John Cheever ("Hadithi Fupi za John Cheever").

John Cheever

Amezaliwa 27 Mei 1912
Massachusetts, Marekani
Amekufa 18 Juni 1982
New York, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Cheever kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.