John Damiano Komba

John Damiano Komba (18 Machi 195428 Februari 2015) alikuwa mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Alitokea katika Chama cha Mapinduzi (CCM). Alikuwa pia mwimbaji maarufu.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. [Mengi kuhusu John Damiano Komba. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu John Damiano Komba]