John Lydon (maarufu zaidi kama Johnny Rotten) ni mwanamuziki wa Uingereza. Jina lake la kuzaliwa ni John Joseph Lydon. Alizaliwa London, 31 Januari 1956. Alikuwa anapiga muziki wa Punk na Post punk.

John Lydon

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Lydon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.