John Maron (kwa Kiarabu يوحنا مارون, Yuhanna Marun; Sirmaniyah au Sarmin nchini Syria, 628Kfarhy, Lebanon, 707) aliongoza Kanisa la Wamaroni kama Patriarki wake wa kwanza.

Mt. Yohane Maroni.

Baada ya kuwa mmonaki wa monasteri ya Mtakatifu Maroni, mwaka 676 alipewa uaskofu, halafu akawa askofu mkuu wa mji wa Antiokia kuanzia mwaka 685 hadi alipofariki.

Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Machi kila mwaka.

Maandishi hariri

  • Michel Breydy, Jean Maron. Expose de la foi et autres opuscules. Syr. 209. CSCO (Corpus Scriptorum Christianorum Orientalium), Bd. 407, Peeters, Louvain 1988

Marejeo hariri

  • Michael Breydy: Johannes Maron. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). Band 3, Bautz, Herzberg 1992, ISBN 3-88309-035-2, Sp. 480–482.
  • Siméon Vailhé, «Origines religieuses des Maronites», Échos d'Orient, t. IV, 1900-1901, n° 2, p. 96-102, et n° 3, p. 154-162.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.