John Paul Lwanji (amezaliwa 1 Machi,1949) ni mbunge wa jimbo la Manyoni Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu John Paul Lwanji (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje hariri