John Tengo Jabavu

Mhariri wa gazeti la Afrika Kusini la Xhosa (1859-1921)

John Tengo Jabavu (11 Januari 1859 - 10 Septemba 1921) alikuwa mwandishi na mwanasiasa wa Afrika Kusini. Hasa aliandika kwa lugha ya Kixhosa. Kama William Gqoba, alikuwa mhariri wa gazeti la Isigidimi samaXhosa. Baadaye alikuwa mhariri wa kwanza wa gazeti la Imvo Zabantsundu. Alianzisha chuo cha Kiafrika kilichoitwa Fort Hare baadaye.

John Tengo Jabavu na mwanawe Davidson Don Tengo, mnamo 1903

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Tengo Jabavu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.