Joko Widodo (anajulikana pia kama Jokowi; alizaliwa Mulyono, 21 Juni 1961) ni mwanasiasa wa Indonesia ambaye ni rais wa 7 na wa sasa wa Indonesia.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joko Widodo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.