José Protacio Rizal Mercado y Alonso Realonda (19 Juni 1861 - 30 Desemba 1896) alikuwa mwandishi mzalendo Mfilipino. Riwaya zake mbili, Noli me Tangere na El Filibusterismo, zilikosoa ukiukwaji wa haki uliofanywa na Hispania. Rizal alinyongwa mwaka wa 1896.

José Rizal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Rizal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.