Julian Brandt (alizaliwa [2 Mei]] 1996) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama winga wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Ujerumani.

Julian Brandt

Brandt alifanya maonyesho zaidi ya 55 kwenye timu ya taifa ya Ujerumani, Alicheza kila ngazi kutoka U15 hadi U21. Alikuwa mwanachama wa kikosi hicho ambacho alishinda michuano ya UEFA ya chini ya miaka 19 ya UEFA mwaka 2014.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julian Brandt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.