Juliani Mwasi (331/332 - 26 Juni 363) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 361 hadi kifo chake.

Alimfuata Constantius II akafuatwa na Jovian.

Aliitwa "mwasi" kwa sababu alikataa Ukristo akajaribu kueneza falsafa/dini ya Kiplato.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juliani Mwasi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.