Junot Díaz (amezaliwa 31 Desemba 1968) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2008, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Brief Wondrous Life of Oscar Wao.

Junot Díaz mnamo 2012
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Junot Díaz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.