Justin Harvey Smith

Justin Harvey Smith (18571930) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1920, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The War with Mexico".

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Justin Harvey Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.