Kåre Isaachsen Willoch (3 Oktoba 1928 - 6 Desemba 2021) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei kuanzia 14 Oktoba 1981 hadi 2 Mei 1986.

Kåre Willoch mwaka 1983.

Angalia Pia hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kåre Willoch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.