Katika tarakilishi, kabrasha (kwa Kiingereza : "directory") ni mfumojalada linaloshikilia majalada au makabrasha nyingine.

Dirisha la Windows linaloonyesha kabrasha moja.

Tunatumia maneno mzazi na mtoto kutaja uhusiano kati ya kabrasha na kabrasha nyingine ndani ya kabrasha hilo.

Marejeo hariri

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.