Marcus Cocceius Nerva (8 Novemba, 3027 Januari, 98) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 18 Septemba, 96 hadi kifo chake. Alimfuata Domitian.

Kaizari Nerva

Picha hariri

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Nerva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.