Kanda ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:

  • Kanda (kifaa) – kifaa kinachotumika kuhifadhia kumbukumbu kwa njia ya sauti.
  • Kanda(kitenzi) – tendo la kuminyaminya kwa kitambaa kilichochovya kwenye maji ya moto au vuguvugu ili kupumguza maumivi au uvimbe katika mwili.
  • Kanda(kitenzi) – tendo la kufinyanga unga au udongo kwa kuchanganya na maji.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.