Kapasita (kutoka Kiingereza: "capacitor") ni kifaa kinachotumika kutunza chaji ya umeme kwa muda mrefu kuliko betri.

Kapasita mbalimbali zilivyo.
Alama wakilishi za aina tatu za kapasita.

Ilibuniwa na Mjerumani Ewald Georg von Kleist mnamo Oktoba 1745[1].

Tanbihi hariri

  1. Williams, Henry Smith. "A History of Science Volume II, Part VI: The Leyden Jar Discovered". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-24. Iliwekwa mnamo 2013-03-17. 

Viungo vya nje hariri

 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.