Karan Singh Grover
Karan Singh Grover (amezaliwa New Delhi, India, 23 Februari 1982) ni mwigizaji wa India.[1]
Karan Singh Grover | |
---|---|
Amezaliwa | 23 Februari 1982 New Delhi, India |
Kazi yake | Bizari Mill Gayye mkubali Kasautii Zindagii Kay 2 |
Miaka ya kazi | 2004-sasa |
Ndoa |
|
Maisha hariri
Grover alizaliwa katika familia ya Singasinga.[2] Ana mdogo wake wa kiume.[3]
Wakati Grover alipokuwa bado mchanga familia yake ilihamia Al Khobar, Saudi Arabia. Alisomea huko Dammam, Saudi Arabia, kisha akafanya digrii katika Usimamizi wa Hoteli kutoka IHM Mumbai. Kisha alifanya kazi kama Mtendaji wa Masoko katika Hoteli ya Sheraton huko Oman.[4]
Tanbihi hariri
- ↑ "First of Many: Karan Singh Grover revisits Kitni Mast Hai Zindagi".
- ↑ "Karan Singh Grover: Everything boils down to who the audience wants to watch".
- ↑ "Do you know Karan Singh Grover has a hot brother called Ishmeet Singh Grover? - daily.bhaskar.com". daily.bhaskar.com. 17 May 2014. Iliwekwa mnamo 29 December 2014. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Gauahar Khan to Karan Singh Grover; TV celebs who were slapped in public".
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karan Singh Grover kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |