Coordinates: 15°45′N 35°43′E / 15.750°N 35.717°E / 15.750; 35.717

Kassala ni mojawapo ya Wilayat 26 (majimbo) ya Sudan. Lina ukubwa wa eneo la km² 36,710 na idadi ya wakazi wake inakadiriwa kuwa 1,400,000 (2000).

Kassala katika Sudan

Kassala ndio mji mkuu wa jimbo hili; miji mingine katika Kassala ni pamoja na Aroma, Hamishkoreb, Khor na Telkok].

Katika miaka ya 1990 jimbo liliitwa "ash-sharqiya" (mashariki).

Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kassala (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.