Kaunti ya Kajiado ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Ramani ya Kaunti ya Kajiado,Kenya
Kaunti ya Kajiado, Kenya

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,117,840 katika eneo la km2 21,871.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 51 kwa kilometa mraba[1]. Makao makuu yako Kajiado.

Utawala hariri

Kaunti ya Kajiado imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo bunge Kata
Kajiado ya Kati Purko, Ildamat, Dalalekutuk, Matapato North, Matapato South
Kajiado Magharibi Keekonyokie, Iloodokilani, Magadi, Ewuaso Oonkidong'i, Mosiro
Kajiado Mashariki Kaputiei North, Kitengela, Oloosirkon/Sholinke, Kenyawa-Poka, Imaroro
Kajiado Kaskazini Olkeri, Ongata Rongai, Nkaimurunya, Oloolua, Ngong
Kajiado Kusini Entonet/Lenkisi, Mbirikani/Eselen, Keikuku, Rombo, Kimana

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3] hariri

  • Isinya 210,473
  • Kajiado Central 161,862
  • Kajiado North 306,596
  • Kajiado West 182,849
  • Loitokitok 191,846
  • Mashuuru 64,214

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  2. http://countytrak.infotrakresearch.com/Kajiado-county/
  3. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.

Viungo vya nje hariri