Kaweni

(Elekezwa kutoka Kawéni)

Kaweni ni kati ya vitongoji vya mji wa Mamoudzou kwenye kisiwa cha Maore.

Mwonekano wa juu wa Kaweni

Ina wakazi 10,000. Iko km 2 kutoka kitovu cha mji. Kuna eneo la viwanda.

Viungo vya nje hariri