Ketti Frings (28 Februari 190911 Februari 1981) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Katherine Hartley. Mwaka wa 1958, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Look Homeward, Angel.

Faili:Ketti Frings.jpg
Ketti Frings, 1958
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ketti Frings kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.