Kevin Owens

Mpiga mieleka kutoka Kanada

Kevin Owens (alizaliwa Mei 7, 1984) ni mpiganaji wa mielaka kutoka nchi ya Canada.

Kevin Owens

Kwa sasa anapigana chini ya brandi ya RAW, ambako anapigana chini ya jina la pete Kevin Steen.

Kevin Owens ameshinda makombe mbalimbali ikiwemo Bingwa wa WWE mara 1, WWE Intercontinental Championship mara 2, na WWE United States championship mara 3.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kevin Owens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.