Khamis Suedi Kagasheki

Khamis Suedi Kagasheki (amezaliwa 30 Agosti, 1951) ni mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Khamis Suedi Kagasheki (13 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje hariri