Kiaghul ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Waaghul. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiaghul imehesabiwa kuwa watu 29,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaghul iko katika kundi la Kilezgiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaghul kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.