Kiakhvakh ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi na Azerbaijan inayozungumzwa na Waakhvakh. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiakhvakh nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 210 tu. Waakhvakh nchini Azerbaijan hawatumii Kiakhvakh kama lugha ya kwanza. Maana wakati nchini Urusi lugha imo hatarini mwa kutoweka, nchini Azerbaijani imeshasahauliwa kiasi. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakhvakh iko katika kundi la Kiandiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiakhvakh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.