Kiangika ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Waangika. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kiangika nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 725,000. Pia kuna wasemaji 18,600 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiangika iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiangika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.