Kiatayal ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Waatayal. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiatayal imehesabiwa kuwa watu 84,300. Kuna lahaja mbili: Kisquliq na Kic'uli'. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiatayal kiko katika kundi lake lenyewe la Kiatayaliki.

Lahaja za Kiatayal na maeneo yake

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiatayal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.