Kibada ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabada. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kijarawa tu. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibada imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibada iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibada (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.