Kibadui ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabadui kwenye kisiwa cha Sunda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibadui imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibadui iko katika kundi la Kisunda. Wengine wanaiangalia kama lahaja ya Kisunda lakini Wabadui na Wasunda ni tofauti kijamii na kidini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibadui kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.