Kibanggai (pia Kiaki) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabanggai kwenye visiwa vya Banggai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibanggai imehesabiwa kuwa watu 125,000. Hata hivyo Kibanggai imeanza kutoweka kwa vile Wabanggai wengi wameanza kuacha lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanggai iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibanggai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.