Kibantik ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabantik kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibantik imehesabiwa kuwa watu 3000. Kwa vile watoto hawajifunzi lugha ya Kibantik, iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibantik iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibantik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.