Kibitare ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wabitare. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibitare nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 46,300. Pia kuna wasemaji 6030 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibitare iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibitare kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.