Kiburu (Indonesia)

Kiburu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasarete, Wawaesama, Wafogi na Warana kwenye visiwa vya Buru na Ambon. Isichanganywe na lugha nyingine ya Kiburu izungumzwayo nchini Nigeria. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiburu imehesabiwa kuwa watu 33,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburu iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiburu (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.