Kibushi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mayote inayozungumzwa na Wabushi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibushi imehesabiwa kuwa watu 39,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibushi iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibushi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.