Kicentuum (pia huitwa Kijalaa) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wacentuum. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kicentuum imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Uainishaji wa lugha ya Kicentuum haujatafitiwa. Inawezekana kuwa lugha nyingine za familia ya lugha ambayo Kicentuum ni lugha mojawapo zimeshatoweka.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicentuum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.