Kichina ya Xiang ni lugha ya Kisino-Tibeti inayozungumzwa na Wahan, hasa katika majimbo ya Hunan, Guizhou na Hubei upande wa kusini-mashariki nchini Uchina. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kichina ya Xiang imehesabiwa kuwa watu milioni 36.6. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichina ya Xiang iko katika kundi la Kichina.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichina cha Xiang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.