Kidan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Liberia inayozungumzwa na Wadan. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kidan nchini Cote d'Ivoire imehesabiwa kuwa watu 800,000. Pia kuna wasemaji 175,000 nchini Liberia na wasemaji wachache nchini Guinea. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidan iko katika kundi la Kimande.

Kidan

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.