Kidido ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wadido. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kidido imehesabiwa kuwa watu 12,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidido iko katika kundi la Kitseziki.


Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidido kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.