Kidijim-Bwilim ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadijim na Wabwilim. Dijim na Bwilim ni majina ya lahaja mbili za lugha hiyo moja. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kidijim-Bwilim imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidijim-Bwilim iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidijim-Bwilim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.