Kidirasha ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wadirasha. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kidirasha imehesabiwa kuwa watu 90,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidirasha iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidirasha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.