Kidomaaki ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wadomaaki. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidomaaki imehesabiwa kuwa watu 340 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidomaaki iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidomaaki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.