Kidorze ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wadorze. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kidorze imehesabiwa kuwa watu 20,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidorze iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidorze kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.