Kiduano (pia Kidesin-Dolak au Kiorang-Kuala) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waduano kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiduano nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 15,000. Pia kuna wasemaji 600 nchini Malaysia (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiduano iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiduano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.