Kifulfulde-Kano ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria, Kamerun na Chad inayozungumzwa na Wafulfulde. Lugha hiyo ni lugha mojawapo ya lugha za Kifulfulde. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Kano imehesabiwa kuwa watu 1,710,000 nchini Nigeria. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun na Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Kano iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifulfulde-Kano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.