Kigayo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wagayo kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigayo imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigayo iko katika kundi la Kisumatra-Kaskazini-Magharibi. Wengine wanaiangalia lugha ya Kialas kuwa lahaja ya Kigayo.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigayo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.