Kigoaria ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wagoaria. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigoaria imehesabiwa kuwa watu 25,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigoaria iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kisadri nchini Uhindi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigoaria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.