Kigrebo-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wagrebo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kigrebo-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 84,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigrebo-Kaskazini iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigrebo-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.