Kigumuz ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia na Sudan inayozungumzwa na Wagumuz. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kigumuz nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 179,000. Pia kuna wasemaji 40,000 nchini Sudan. Kuna lahaja nyingi za Kigumuz ambazo hazielewani zote. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigumuz iko katika kundi la Kikomuz.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigumuz kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.